Monday, November 16, 2009

MPINGA MRADI WA MAJI SALASALA

Inasikitisha kukutana na msomi na mtu aliyewahi kushika nyadhifa katika serikali lakini lakini anakuwa wa kwanza kupinga maendeleo ya wananchi. Huyu sio mwingine ila ni Col. Mstaafu ambae ameamua kung'oa bomba la maji na kujenga uzio kuzuia mradi wa wananchi. Hoja zake ni kudai kulipwa fidia. Ujenzi huu umewasikitisha sana wakazi wa Salasala licha ya yeye mwenyewe kutoona na kudai kupewa huduma ya maji.
















Thursday, August 20, 2009

MKUU WA WILAYA KINONDONI AANZA KUTENGENEZA TIMU YA KUFANYA KAZI KINDOZI











Mh. Lugimbana mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa tarehe 18/08/2009 hadi 19/08/2009 alikuwa na kikao cha kazi kati ya Maafisa Watendaji wa Kata zote 27 za Manispaa ya Kinondoni, Maafisa Watendaji Wamitaa katika mitaa yote 127 ya Manispaa ya Kinondoni na Maafisa Afya wa Manispaa ya Kinondoni.








Semina hii iliandaliwa na Kamati ya Usafi ya Manispaa ya Kinondoni ikiongozwa na Mh. DC Lugimbana kwa lengo la kuliandaa jeshi la kuweza kupambana na hali ya uchafu katika Manispaa yetu ya Kinondoni pamoja na kero nyingine zinazowahusu wananchi wa Manispaa ya Kinondoni.








Kikao hiki cha kazi kiliwahusisha pia vyombo vya usalama - Usalama wa Taifa Mkoa wa Kinondoni chini ya RSO, DSO's wake, pia RPC na OCD's wa mkoa wa Kinondoni.











Lengo la msingi ni kuwawezesha watendaji kwanza kujenga mahusiano na viongozi hao na pia kushirikiana katika mbinu mbalimbali za utendaji wa kazi zetu.








Mambo yalikuwa mazuri embu endelea na kujionea mambo yalivyokuwa:-








Thursday, April 16, 2009

MIKAKATI YA KUTANUA MTANDAO WA MAJI SALASALA



Kikao kati ya Dawasa na Jumuia ya Watumiaji maji Salasala kilichofanyika ofisi za Dawasa tarehe 15/04/2009. Lengo kuu la kikao hiki lilikuwa kuishirikisha DAWASA kama mdau mkuu katika mradi wa Maji Salasala. Jumuia ya Watumia Maji Salasala inapata changamoto kubwa kutokana na idadi ndogo ya wateja waliounganishwa kwenye mtandao wa maji, uwezo wa Tanki la Maji n gharama za uendeshaji, gharama za kutandaza mabomba kuelekea kwenye eneo lenye wakazi wengi.

Tuesday, April 14, 2009

CULTURE AND ENVIRONMENT
















My friends, culture play a role, strong role within a community, please go through the following pictures to reveal the reality of culture within a community,