Tarehe 08/10/2010 hadi tarehe 10/10/2010 Menejimenti ya Manispaa ya Kinondoni ilifanyanya ziara ya kutembelea Mkoa wa Morogoro kwa mapumziko baada ya majukumu mazito hususani kwenye ajenda za Usafi, Mapato na Utawala Bora.
Kuanzia kesho nitakuletea matukio mbalimbali yaliojiri kwenye ziara hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment