Thursday, April 16, 2009

MIKAKATI YA KUTANUA MTANDAO WA MAJI SALASALAKikao kati ya Dawasa na Jumuia ya Watumiaji maji Salasala kilichofanyika ofisi za Dawasa tarehe 15/04/2009. Lengo kuu la kikao hiki lilikuwa kuishirikisha DAWASA kama mdau mkuu katika mradi wa Maji Salasala. Jumuia ya Watumia Maji Salasala inapata changamoto kubwa kutokana na idadi ndogo ya wateja waliounganishwa kwenye mtandao wa maji, uwezo wa Tanki la Maji n gharama za uendeshaji, gharama za kutandaza mabomba kuelekea kwenye eneo lenye wakazi wengi.

No comments: