Monday, November 16, 2009

MPINGA MRADI WA MAJI SALASALA

Inasikitisha kukutana na msomi na mtu aliyewahi kushika nyadhifa katika serikali lakini lakini anakuwa wa kwanza kupinga maendeleo ya wananchi. Huyu sio mwingine ila ni Col. Mstaafu ambae ameamua kung'oa bomba la maji na kujenga uzio kuzuia mradi wa wananchi. Hoja zake ni kudai kulipwa fidia. Ujenzi huu umewasikitisha sana wakazi wa Salasala licha ya yeye mwenyewe kutoona na kudai kupewa huduma ya maji.
No comments: